I live in an ocean of smell…
Kuvunja sheria ni sawa na kufanya kosa, na kwa hiyo kuwa mkosaji, mbele ya sheria na mbele ya mungu.
Familia yako haikusaidii chochote katika mipango ya takdiri yako. Hii inasikitisha sana. Unajitahidi kila siku kuwafurahisha watu unaowapenda na watu wako wa karibu. Kila ukijitahidi kupata kibali cha watu unaishia kudharaulika na kuonekana mjinga as...
Rusty Griswold: Hey, ya' got Pac Man? Cousin Dale: No. Rusty Griswold: Ya' got Space Invaders? Cousin Dale: Nope. Rusty Griswold: Ya' got Asteroids? Cousin Dale: Naw, but my dad does. Can't even sit on the toilet some days.
[repeated lines] Chuck Yeager: Hey, Ridley, ya got any Beeman's? Jack Ridley: Yeah, I think I got me a stick. Chuck Yeager: Loan me some, will ya? I'll pay ya back later. Jack Ridley: Fair enough.
There is the truth of history, and there is the truth of what a person remembers.
Ni rahisi kushinda vita ya maisha na kuishi mbinguni duniani. Ni vigumu kushinda vita ya dhambi na kuishi mbinguni paradiso.
Imani ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana na hupeleka watu kwenye ukweli. Kuamini hupotosha, na ni nia ya kudharau kinachoweza kujulikana.
Usiwapoteze marafiki zako wa mwanzo kwa sababu ya ujinga wako, wala usiwaache marafiki zako wa mwanzo kwa sababu ya ujinga wao.
Tuwape watoto wetu haki yao ya msingi ya kuwa watoto katika siku za ujana wao, kabla hawajawa watoto tena watakapokuwa wakubwa.
Majambazi huwapenda wanaowapenda. Chukulia mfano huu: Mimi na Wanda ni marafiki, OK? Baba yake, au genge la baba yake, hataweza kunidhuru au kuwadhuru watu ninaowapenda kwa sababu tu ya urafiki na mtoto wake. Na yeye anaweza kufumbiwa macho akifanya ...
Ikiwa huna pesa na una mke na watoto kwa mfano, mke wako (wanawake walio wengi) hatakuona wa maana kwa sababu ya ustawi wa maisha ya familia yake. Ikiwa una mwanamke asiyekuwa na busara au hekima ya kutosha, au mwanamke ambaye akili zake zimefyatuka ...
Cowboy: Well, just stop for a little second and think about it. Will ya do that for me? Adam Kesher: [sarcastic tone] Okay, I'm thinking. Cowboy: No, you're not thinkin'. You're too busy being a smart aleck to be thinkin'. Now I want ya to "think" an...
Are ya waiting for an invitation? Getchya self in. I ain’t gonna scare ya.
Cuando puedas enamorarte; entregate completita, disfruta como loca. Si no funciona, ya después verás. Pero si funciona, ya fregaste!
Wananchi wataendelea kuwepo hata kama serikali haitakuwepo. Serikali haiwezi kuwashinda wananchi. Sauti ya umma ni sauti ya Mungu. Serikali haiwezi kumshinda Mungu.
Kama umefanya au umesema kitu kibaya na ukasema ukweli mbele ya mtu au ya watu, omba msamaha kupata tena kibali cha umma.
Jambazi aliyekubuhu hawezi kumuua mtu bila kumwambia kwa nini anamuua. Si sheria ya John Murphy. Ni sheria ya EAC.
Turkish: I'm sorry, Mickey. Mickey: Did ya do it? Then why are ya sorry?
Murphy alichanganyikiwa. Hakujua nini kilitokea na kwa nini. Ila, ghafla, alipotupa macho kushoto aliona kitu. Joka kubwa lilitambaa, ingawa kwa shida, kwa sababu ya sakafu, na kumfuata kummaliza. Murphy alijua joka hata angefanya vipi, hakuwa na uwe...
The very air they breathed was almost a juice.