Kuvunja sheria ni sawa na kufanya kosa, na kwa hiyo kuwa mkosaji, mbele ya sheria na mbele ya mungu.
Enock MaregesiSerikali haifungi mtu kutokana na shinikizo la watu. Inafunga mtu kutokana na sheria za nchi.
Enock MaregesiKafara ya maombi ni kushukuru wakati wa matatizo. Kushukuru kuna nguvu kuliko kuomba.
Enock Maregesi